Habari/News

KINGAMUZI CHA AZAM SASA KIPO TAYARI

Tarehe October 30, 2013

azamu

Waandishi wa habari wakipata maelekezo kutoka kwa Loth Mziray ambaye ni moja ya wafanyakazi wa azam tv. akiwa anazungumzia juu ya ufunguzi huu.

Kampuni ya Azam Media leo imetambulisha rasmi king’amuzi chake ambacho itakuwa inakitumia kurusha matangazo ya channel zake. kwa Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam ambapo Wanahabari wamepata nafasi ya kujua jinsi azam media inavyofanya kazi zake za urushaji wa matangazo

King’amuzi hicho ambacho kitauzwa kwa shiling elfu 95 kitakuwa na channel nyingi za nje ya inch na ndani ambapo channel za ndani nyingi zitakuwa za free,kwa mujibu wa azam media king’amuzi hicho kitaanza kufanya kazi rasmi mwishoni mwa mwezi ujao kwa kurusha matangazo yake ya mpira ambayo kwa sasa wanashirikiana na TBC katika kuonyesha mpira.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni