Gossip/Udaku

Zari akataa Range Rover ya msanii Kenya

Tarehe May 12, 2018

Mfanyabiashara Zari The Boss Lady amegoma kupokea zawadi ya gari alilolotaka kuhongwa na msanii Ringtone Apoko kutoka nchini Kenya.

Inadaiwa kuwa msanii huyo wa Kenya alimetangaza kumnunulia mrembo huyo gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017.

Akihojiwa na kituo kimoja cha habari nchini Kenya Zari amesem  hamfahamu msanii huyo.

Zari yupo nchini Kenya kwa ajili ya event yake ‘The Colour Purple’ itakayofanyika weekend hii Uhuru Gardens.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni