Filamu

Zari achukua maamuzi magumu ‘Valentines day’

Tarehe February 15, 2018

Mwanamuziki Diamond akiwa na mama watoto wake Zari.

Mfanyabisahara  maarufu Zari Hassan ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz.

Inadaiwa kuwa uamuzi huo unafuatia  baada ya kuwapo kwa tuhuma nyingi kuhusu mwanamuziki huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengine.

Zari ametangaza uamuzi wa kuachana na Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema baada ya tuhuma nyingi dhidi ya mpenzi wake kuwa na wanawake wengine kila mara ameamua kuulinda utu wake na kuachana naye.

Ujumbe wa Zari siku ya Valentine,

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni