Gossip/Udaku

Zari aacha Maswali ‘kumu-unfollow’ Diamond

Tarehe February 3, 2018

Mama watoto wa Diamond , Zarinah Hassan anadaiwa kuchukua maamuzi magumu kufuatia kumu-unfollow baba watoto wake, Diamond Platinumz kitu ambacho kimezua gumzo mtandaoni.

Zari mwenye wafuasi million tatu instagram sasa anatajwa  kuchukua uamuzi mgumu kwa vitendo zaidi kuliko maneno kama ambavyo imezoeleka

Huu ndio  ujumbe cha mwisho aliopost Zari kabla ya kuchukua uamuzi huo ulikuwa ni:

”There is no secret in life, whatever your Goals, you can get there if you are willing to work”, akimaanisha

Uamuzi wa Zari unafuatia Diamond Platinumz kuingia kwenye skendo za kuchepuka kimapenzi na baadhi ya mastaa mbalimbali hapa nchini.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni