Gossip/Udaku

Yaliyojiri katika Ndoa ya Abdu Kiba

Tarehe April 23, 2018

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Abdu Kiba jana April 22,2018 amefunga ndoa na mpenzi wake jijini hapa.

Wakati Ali Kiba akifunga ndoa huko Mombasa nchini Kenya inadaiwa kuwa huenda wanamuziki hao wakafanya sherehe kwa pamoja april 29,2018 jijini Dar es salaam.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni