Gossip/Udaku

Wolper atoboa siri ya kunywa pombe

Tarehe August 11, 2017

wolper

Imegundulika kuwa msanii wa bongo movie jacqueline wolper akiwa hajanywa pombe hawezi kufanya mabo yake kwa kujiamini.

Wolper alivujisha siri hiyo juzikati baada ya kufanya ‘interview’ akiwa hajaonja kilevi na kutoboa ukweli kuwa hakuwa na ‘konfidesi’ kwa sababu hakuwa ameshtua.

“Unajua nikiwa sijanywa mimi huwa nina aibu kweli lakini nikipiga mambo yetu utanikataa, jicho linakuwa kavu wala sibabaiki,” alisema Wolper.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni