Gossip/Udaku

Wema Sepetu afunguka Lulu Kutupwa jela miaka 2

Tarehe November 13, 2017

Mahakama Kuu imemhukumu Mwigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael maarufu Lulu kwenda jela miaka 2 kwa hatia ya kuua bila ya kukusudia.
.
Lulu alikuwa akikabiliwa na kesi ya kumuua bila ya kukusudia mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba mwaka 2012.

Kufuatia hukumu hiyo malkia wa filamu Bongo Wema Sepetu ametumia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii  kumpa pole Lulu ambaye ni mwigizaji mwenzake wa filamu.

“Wema Sepetu – Dah… Speechless… 😔😔😔 Pole my baby… This too shall pass… 😔😔😔 Dah..”Ameandika Wema Sepetu.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni