Gossip/Udaku

Uwoya amuenzi Masogange kwa kuchora Tatoo

Tarehe April 24, 2018

Irene Uwoya

Mwigizaji Irene Uwoya amemuenzi  video queen Agness Masogange aliyefariki dunia katika Hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es salaam kwa kuchora tatoo mkononi.

Masogange amezikwa jana mkoani Mbeya.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni