Gossip/Udaku

Uwoya adai kuchoshwa maswali kuhusu Dogo Janja

Tarehe October 9, 2017

Muigizaji wa filamu za Kibongo , Irene Uwoya amefunguka   kuwa amechoshwa kuuliza maswali ikiwa ana mahusiano ya kimapenzi na msanii Dogo Janja.

Uwoya amesema  suala la kuwa kwenye uhusiano kwake ni binafsi na haijalishi yupo na nani lakini pia hataki kusikia wala kuulizwa swali kuhusu msanii huyo.

“Sihitaji kumzungumzia (Dogo Janja) na nimechoshwa na maswali kuhusu kuwa kwenye uhusiano naye, hayo ni mambo yangu binafsi na ninaomba niachwe kwa kweli,” alisisitiza Uwoya.

Uwoya amewahi kuolewa na  Mcheza mpira kutoka Rwanda Hamad Ndikumana ambapo ndoa yao livunjika baada ya Uwoya kudai talaka.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni