Gossip/Udaku

Steve Nyerere:’Sura za mastaa zinaua Bongo Muvi’

Tarehe February 19, 2018

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Steve Nyerere .

Mchekeshaji Bongo Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kitu kinachosababisha soko la filamu bongo kuyumba ni kutokana na  watazamaji kuona sura zile zile katika kila filamu mpya inayozinduliwa.

Steve aseongeza  kuwa, kama kila mtu anapotazama sinema anakutana na sura ya Kajala Masanja, Shamsa Ford, Aunt Ezekiel na wengine, watu wanachoka na mwisho wa siku ndipo linatokea anguko la sinema kama lilivyotokea.

Steve ameshauri kuwa wale mastaa wakubwa waachie ngazi na kuwapa nafasi wengine ili watu waone ladha tofauti maana sura zao zimechosha mashabiki.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni