Gossip/Udaku

Rosa Ree “Sina uhusiano na mwanaume”

Tarehe January 11, 2017

rosa-banner-1024x550

Msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree amefunguka na kuamua kutoa ya moyoni  kuwa, kuna wanamuziki wengi wa Hip Hop wanamtaka kimapenzi.

Rosa Ree ambaye  anatabamba na ngoma ya One Time amesema, kwa sasa hana uhusiano na mwanaume yeyote japo kuna wakali kibao wa Muziki wa Hip Hop wamekuwa wakimtaka kimapenzi.

“Nilishawahi kutongozwa na wasanii wenzangu wengi tu lakini kikubwa sitaki kuingia katika uhusiano kwani naamini kuwa na mtu unayemtaka ni mipango ya Mungu na siku ikitokea nitakuwa naye,” amesema Rosa Ree.

Rosa Ree ambaye pia ni memba wa Lebo ya The Industry.

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni