Gossip/Udaku

Picha:Dj wa Diamond alipouaga ukapera

Tarehe December 3, 2017

Dj wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Rommy Jones ameuaga ukapera na kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu disemba 1,2017.

Watu mbalimbali wamehudhuria katika harusi hiyo akiwemo Zari,Diamond na wasani wengine wa WCB.

Kwa matukio zaidi katika picha tazama hapa.

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni