Gossip/Udaku

Nandy atua Basata kusambaa video ya ‘utupu’ akiwa na BillNass

Tarehe April 13, 2018

Nandy akiwa na uongozi wa Basata.

Mwanamuziki Nandy leo amejisalimisha Basata kufuatia video yake utupu akiwa na Mwanamuziki Billnass kusambaa  kwenye mitandao ya kijamii.

Video hiyo ya Mwanamuziki  Faustina Charles ‘Nandy’ na Billnas wakiwa faragha  imezua gumzo kuanzia jana katika mitandao ya kijamii hapa nchini.

Aidha,Nandy amekiri kwamba video hiyo ni ya kweli japo ni ya mwaka 2016 na amewaomba msamaha Watanzania kwa walioiona video hiyo.

Kupitia akaunti yake ya instagram Nandy amesema…….

”Kiukweli niko katika wakati mgumu wa maisha yangu.. jana sikuwa sawa ila leo nimeweza hata shika simu yangu najuaa matusi yote na fedhea kutoka kwa mashabiki wangu ni sababu wanaamini hili ni kusudio letu au langu hii video iwe public naapa na naumia sana sana kwa hili lilitokea!!! sihusiki na kusambaza video wala siwezi ruhusu kitu kama hichi kitokee kwenye maisha yangu ya usanii hata ya kawaida!

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni