Gossip/Udaku

Mc Pilipili, Rose Ndauka mambo hadharani

Tarehe December 29, 2016

15623807_1822978041308500_5449499911559053312_n

Baada ya kukwepa kuthibitisha kwa muda mrefu kuwa wana uhusiano, mchekeshaji Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili na muigizaji, Rose Ndauka wameamua kutojificha tena.

Hatua hiyo imekuja baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja katika siku ya Christmas huko Dodoma.

Ndauka aliongozana na Pilipili kwenye show yake ya Dodoma siku ya Christmas na kupandishwa jukwaani kuchekesha na mzee.

Muda wote wawili hao walikuwa wakiongozana kama kumbikumbi na kudhihirisha kuwa mahaba yamewaelemea.

Hizi ni baadhi ya picha za wawili hao.

15534780_708503189326847_1265542157062635520_n

15538299_233468390429122_6274712804435951616_n

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni