Gossip/Udaku

Mabetto:’Kuwa mama Kijacho hakutakatisha ndoto zangu’

Tarehe June 13, 2017

hamisamobetto

Mwanamitindo Hamisa Mobetto

Mwanamitindo anayetamba kwa kasi nchini Tanzania Hamisa Mobetto amefunguka kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa ni mama kijacho kwa sasa.

Akiongea kupitia ukurasa wake wa Instagram,Mobetto amesema ndoto yake kubwa ni kuwa mwanamitindo wa kimataifa,Lakini kuwa na familia bora pia ni moja kati ya malengo yake.

“Natamani nipate familia bora yenye kumtambua mungu hivyo nitamlea mwanangu kwa kumpa malezi bora na yenye  kumtabua mungu ili aje kuwa mfano bora katika jamii”

Kumekuwa na uvumi mimba ya mobetto ni ya msanii wa muziki wa kizazi kizazi kipya Daimond Platinuam, Licha ya kuwa hakuna ukweli katika hilo kutokana na Diamond kutothibitisha.

ingawa mama mzazi wa Daimond anaposti sana katika ukurasa wake wa Instagram na kujaribu kueleza kwa ufupi mimba hiyo kuwa inaweza muhusu mwanae.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni