Gossip/Udaku

Gigy Money amtolea povu muigizaji Bongo muvi

Tarehe December 1, 2017

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Gigy Money.

Msanii wa filamu Bongo Rado amekipata cha mtemakuni kufuatia kudai kuwa wasanii wa kike wa bongo fleva hawana vigezo vya kuolewa.

Kauli hiyo imeonekana kumchefua Gigy Money aliyemjibu kuwa suala la kuolewa miaka ya sasa halina dili sana kwani wanawake wanaoa wenyewe kwa kujilipia mahari, na kumtaka Rado apambane na hali yake kwa kutokuwa na hela ya kuweza kuwapata watoto wazuri.

Licha ya wasanii hao kutoleana uvivu hivi karibuni Mwanamuziki Dogo Janja alifunga ndoa na msanii wa Filamu za Kibongo Irene Uwoya.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni