Gossip/Udaku

Gigy Money amgeukia Diamond Platinumz, ataka kumrithi Zari

Tarehe June 19, 2017

DiamondPlatnumz (3)

Msanii anayetesa katika tasnia ya muziki na uigizaji Gigy Money amefunguka hisia zake juu ya Msanii Diamond Platnumz na kudai kuwa anamtamani.

Amesema anamtamani Diamond kuliko wanaume wote, na Diamond anajua kuwa anampenda hivyo yupo tayari kumrithi hata leo Zari.

Gigy asiyeishiwa vituko amefunguka hayo katika mahojiano na kipindi kimoja cha redio nchini.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni