Gossip/Udaku

Ebitoke avunja ukimya madai ya kuachana na Ben Paul

Tarehe August 11, 2017

ebitoke

Muigizaji wa Komedi za kibongo Ebitoke amedai kuwa si kweli kwamba wameachana na Ben Paul bali kwa sasa wanafanya mambo yao kwa siri.

Ameongeza  kuwa malengo waliojiwekea kwa sasa ndio yanayowafanya kuwa bize na kutoonekana wakiwa pamoja na kupostiana katika mitandao ya kijamii.

“Tunamipango mingi, kwanza kufanya kazi pamoja na kushirikiana katika jambo lolote na ameniaidi lazima ahakikishe natimiza malengo yangu na ameona mimi bado ni mdogo ananifundisha kila kitu jinsi gani nikue kwenye hii tasnia na the way hii mitandao ya kijamii ilivyo na maneno ya watu yalivyo,” alisema mchekeshaji huyo.

Mahusiano ya wawili hao yaliibuliwa na mtandao huu wa Hivisasa pamoja na Sasa Tv.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni