Gossip/Udaku

Dr.Shika amtaja mwanamuziki wa kike anayemkubali Bongo

Tarehe November 29, 2017

Dr.Louis Shika.

Dr.Louis Shika ambaye ni maarufu sana kwa sasa katika mitandao ya kijamii amefunguka na kusema kuwa  anamkubali sana Mwanamuziki Ray C pamoja na nyimbo zake.

Katika mohiano na moja ya chombo cha habari hapa jijini Dr Shika alisema katika Tanzania, hakuna msanii yeyote wa Bongo Fleva ambaye anamhusudu zaidi ya mwimbaji huyo anayesifika kwa kuimba na kucheza.

Dr Shika amejipatia umaarufu kutokana na  jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi hata hivyo alishindwa kwa kuwa hakuwa na fedha za kuweza kununua nyumba hizo.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni