Gossip/Udaku

Diva amuanika Boyfriend anayeweza kulipa milioni 500 mahari

Tarehe March 31, 2018

Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA akiwa na mpenzi wake mpya.

Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA amesema kuwa tayari ameshapata Boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa mahari kiasi cha shilingi milioni 500 za kitanzania.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Mtangazaji huyo amedai kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki aliyekuwa mpenzi wake na kudumu katika mapenzi kwa miezi kadhaa.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni