Gossip/Udaku

Diamond ‘atokwa povu’ sio la nchi hii

Tarehe October 6, 2017

Baada ya Msanii wa Bongofleva, Diamond Platinumz kuandamwa na mascandal kila uchwao, nguli huyo wa Bongofleva anaonekana sasa kama amepanic  vile na kuamua kaliamsha dude katika mtandao wa Instagram hasa katika kipindi hiki ambacho amekuwa hatoki midomoni mwa watu kufuatia ‘scandal’ za wadada zinazomuandama.

Kupitia Instagram, Mondi amepewatapikia maneno mazito wanaomzushia maneno kuwa ana wanawake wengine wengi hadi kupelekea hali ya mahusiano yake na mama watoto wake, Zari Hassan ‘The Boss Lady’ kuwa shakani ambapo tetesi zinadai mwanamama huyo ameamua kumpiga chini nguli huyo anayetesa na kibao chake cha ‘Hallelujah’ kwa sasa.

Povu la Diamond limekuja siku moja ambayo inadaiwa pia mama watoto wake mwingine, Hamisa Mobetto ameamua kumfungulia mashitaka Bw. Chibu Mahakamani kwa madai ya kutomuhudumia mtoto hali liyozidisha machafuko huko Instagram kwa mashabiki wa pande husika kutupiana vijembe na maneno makali.

Jisomee mwenyewe hap chini alichoandika Platinumz;

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni