Gossip/Udaku

Bella afunguka madai ya Aslay kuondoka na Nyimbo Yamoto Band

Tarehe November 25, 2017

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Enock Bella.

Mwanamuziki anayetokea Yamoto Band Enock Bella amezungumzia madai ya Msanii wa Aslay kuondoka na daftari la nyimbo za Yamoto Band.

Akizungumzia suala hilo Bella amesema Aslay hakuondoka na Daftari lenye nyimbo isipokua ni Mwenyenzi Mungu tu kamjalia Aslay kipaji na mtunzi mzuri kitu ambacho hata yeye anakipenda.

“Unajua yote hiyo kwa sababu hakutaka promo kuwa kigezo chake kikubwa sana kwa hiyo akatumia kwa  kuwepo nafasi hii anaweza akafanya vitu vingi sana, kwa hiyo anafanya kile kitu alichonacho”Alisema Bella.

Bella kwa sasa anatamba na ngoma ya Sauda huku Aslay akiwa na nyimbo nyingi kulinganisha na wasanii wengine.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni