Gossip/Udaku

Baba Mtoto wa Mabeto ‘ashushuliwa’ mitandaoni

Tarehe August 11, 2017

mabetto

Muigizaji aliyejitokeza na Kudai Mtoto wa Mobeto ni wake ameshambuliwa mitandaoni.

Muigizaji huyo  ambaye pia ni mshindi wa milioni 50 za Tanzania movie talent amejitokeza na madai kuwa mtoto wa Hamisa Mabeto ni wakwake  na sio wa Diamond jambo ambalo limepelekea watu wengi kuwa na mtazamo tofauti.

Muigizaji huyo amekuwa akipost vitu mbalimbali kwenye ukurasa wake wa instagram kujaribu kuthibitisha kuwa mtoto huyo ni wa kwake.

“Mengi yamesemwa nimevumilia vya kutosha mwenye mzigo nadhani mshanijua!! Kabla hamjaandika mambo zenu muwe na evidence za kutosha!!. Basi wenye wivu watasema Photoshop shubaaamit!!! #babajunior #comingsoon” amepost picha akiwa na Hamisa,” aliandika muigizaji huyo Instagram.

“Katika post nyingine yenye picha yake na Hamisa Mobeto ameandika, “Siku tuliyomtengeneza junior wetu mimi na mama Dee pale Magomeni usalama. Hotel siitaji..kila mtu apambane na huba lake…kuna mwenye tatizo huko!? Kama yupo kufwaaaz you know!!,”Aliongeza msanii huyo

Hata hivyo inasemekana kuwa picha zote anazoweka muigizaji huyo si  halisi ni za kutengeneza.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni