Gossip/Udaku

Aunty Ezekiel aweka ujumbe wenye utata ‘instagram’

Tarehe January 23, 2018

Aunty Ezekiel akiwa na Mume wake.

Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel  anadaiwa kuwaweka midomo wazi mashabiki wake kufuatia kuweka ujumbe wenye utata kwenye ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.

Aunty Ezekiel katika ukurasa wake amesema,

“Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoendea ? Dah!wanaume!!!!?“

Kauli hiyo imetafsiriwa na mashabiki wake kuwa huenda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni