Gossip/Udaku

Alichosema Zitto baada ya kupata mtoto wa kike

Tarehe December 27, 2016

15740925_1298376136872468_235423048411085669_n

”Mimi na Mke wangu mpendwa tumebarikiwa na Allah kupata mtoto wa kike. Mtoto na mama yake wana afya njema kabisa, Mashaallah. Mtoto amezaliwa saa moja na dakika 45 asubuhi leo Disemba 27, 2016””.

”Binti yetu ataitwa Josina – Umm Kulthum. Josina kwa heshima ya mwanamama mpigania Uhuru wa Kusini mwa Afrika, Josina Muthembi Machel wa FRELIMO. Umm Kulthum kwa heshima ya mama yangu mdogo na pia jina la binti wa Mtume Muhammad (SAW)”

”Tunamshukuru mungu kwa Baraka hizi za mtoto Josina – Umm Kulthum Zitto” Kabwe Z. Ruyagwa Zitto

Disemba 27, 2016

Dar Es Salaam

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni