Biashara na Uchumi
wateja washindwa kununua hekalu la lugumi
Hekalu la Mfanyabiashara, Sais Lugumi lililopo Plot 47 ya Mbweni JKT kwa mara nyingine tena leo limeshindwa kununulika katika mnada......
Email this page
serikali yaionya tena tanesco
Serikali imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kuhakikisha kuwa hawakati umeme bila sababu maalum ili kuwaondolea wananchi adha......
Email this page
Serikali yaionya tena Tanesco
Serikali yaionya tena tanesco
watumiaji wa airtel kuneemeka msimu wa sikukuu
Wakati msimu wa sikukuu ya krismasi umewadia kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeupokea msimu huo kwa kuendelea kuwanufaisha ......
Email this page
Watumiaji wa Airtel Kuneemeka Msimu wa Sikukuu
Watumiaji wa airtel kuneemeka msimu wa sikukuu
tra yasitisha huduma za kampuni ya mabasi kwa kodi ya milioni 500
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) inadaiwa kusiitisha utoaji wa huduma za usafiri kwa kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Express Limited......
Email this page
TRA yasitisha huduma za kampuni ya mabasi kwa kodi ya milioni 500
Tra yasitisha huduma za kampuni ya mabasi kwa kodi ya milioni 500
kwa habari, michezo, burudani na udaku endelea kutembelea www.hivisasa.co.tz
...
Email this page
Kwa habari, michezo, burudani na udaku endelea kutembelea www.hivisasa.co.tz
harmorapa adai tapeli mnada nyumba za lugumi ni mtu wake
Msanii anayeongoza kwa kuwa na ‘kiki’ Bongo, Harmorapa ameibuka na kufunguka kuhusiana na mtu aliyeibuka mshindi wa mnada wa nyumba......
Email this page
Harmorapa adai tapeli mnada nyumba za Lugumi ni mtu wake
Harmorapa adai tapeli mnada nyumba za lugumi ni mtu wake
lipsticks za wema zapigwa ‘stop’
Serikali imedaiwa kuzifungia rangi za midomo ‘lipsticks’ aina ya ‘KISS’ zinazozalishwa na Muigizaji Wema Sepetu na kuagiza kutosambazwa kwa rangi......
Email this page
Lipsticks za Wema zapigwa ‘stop’
Lipsticks za wema zapigwa ‘stop’
update: aliyedaiwa kununua nyumba za lugumi akamatwa na polisi
Mtu aliyedaiwa kujitokeza leo na kufanikiwa kununua nyumba mbili za Mfanyabiashara, Said Lugumi, Dkt. Luis Shika amekamatwa na Jeshi la......
Email this page
Update: Aliyedaiwa kununua nyumba za Lugumi akamatwa na Polisi
Update: aliyedaiwa kununua nyumba za lugumi akamatwa na polisi
rais magufuli awasili uganda kwa ziara ya siku 3
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewasili nchini Uganda kwa ziara ya siku 3 kwa mwaliko wa Rais, Yoweri Kaguta......
Email this page
Rais Magufuli awasili Uganda kwa ziara ya siku 3
Rais magufuli awasili uganda kwa ziara ya siku 3
nyumba 2 za lugumi hatimaye zauzwa kwa bilioni 1.9
Nyumba 2 za Mfanyabiashara, Said Lugumi zilizopo Mbweni, Jijini Dar es Salaam hatimaye zimeuzwa leo kwa Shilingi Bilioni 1.9 kwa......
Email this page
Nyumba 2 za Lugumi hatimaye zauzwa kwa Bilioni 1.9
Nyumba 2 za lugumi hatimaye zauzwa kwa bilioni 1.9
zitto aja na mapya kuhusu deni la taifa
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe ameibuka na kudai kuwa Rais ametumia takwimu halali kupotosha......
Email this page
Zitto aja na mapya kuhusu deni la taifa
Zitto aja na mapya kuhusu deni la taifa
serikali: deni la taifa laongezeka kwa asilimia 17
Serikali kupitia wizara ya fedha imesema kuwa deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 kutoka dola za kimarekeni milioni 22,000......
Email this page
Serikali: Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 17
Serikali: deni la taifa laongezeka kwa asilimia 17
serikali: ndege zote zilizonunuliwa zitakuwa zimefika julai mwakani
Serikali imesema kuwa kufika Julai 2018, ndege zote nne mpya ilizonunua zitakuwa zimefika nchini ambapo 3 zitakuja Juni na 1......
Email this page
Serikali: Ndege zote zilizonunuliwa zitakuwa zimefika Julai mwakani
Serikali: ndege zote zilizonunuliwa zitakuwa zimefika julai mwakani
benki kuu yafafanua taarifa kushuka kwa thamani fedha ya tanzania
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii tangu siku ya jana zikionesha......
Email this page
Benki Kuu yafafanua taarifa kushuka kwa thamani fedha ya Tanzania
Benki kuu yafafanua taarifa kushuka kwa thamani fedha ya tanzania
aliyedai acacia haina hela ya kulipa serikali ‘abwaga manyanga’
Ofisa Mtendaji Mkuu na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya Madini ya Acacia wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao rasmi kuanzia......
Email this page
Aliyedai Acacia haina hela ya kulipa Serikali ‘abwaga manyanga’
Aliyedai acacia haina hela ya kulipa serikali ‘abwaga manyanga’
bei petrol, dizeli, mafuta taa zapanda
Mamlaka ya Udhibiti wa wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura) imetangaza ongezeko la bei za rejareja na jumla kwa......
Email this page
Bei petrol, dizeli, mafuta taa zapanda
Bei petrol, dizeli, mafuta taa zapanda
vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti
Wizara ya Mifugo kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama, imeviteketeza kwa moto vifaranga vya kuku wa kisasa 6,400......
Email this page
Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti
Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti
tra yazifunga shule 4 na chuo cha eckernforde
Shule 4 zinazomilikiwa na Taasisi ya Elimu ya Eckernforde, Jijini Tanga zimefungiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na......
Email this page
TRA yazifunga shule 4 na chuo cha Eckernforde
Tra yazifunga shule 4 na chuo cha eckernforde
zitto: nitawajibika kama rais atatekeleza haya
Ikiwa ni siku moja tu kupita baada ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kushauri kuwa ni vyema watu wote wanaohusika......
Email this page
Zitto: Nitawajibika kama Rais atatekeleza haya
Zitto: nitawajibika kama rais atatekeleza haya
gavana mpya wa bot afunguka, aahidi haya
Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema kuwa amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na......
Email this page
Gavana mpya wa BOT afunguka, aahidi haya
Gavana mpya wa bot afunguka, aahidi haya
rais magufuli amteua prof. luoga gavana benki kuu
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Prof. Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Uteuzi huo utaanza......
Email this page
Rais Magufuli amteua Prof. Luoga Gavana Benki Kuu
Rais magufuli amteua prof. luoga gavana benki kuu
zitto aibua mapya baada ya acacia kudai haina hela ya kulipa
Wakati Watanzania wakiwa katika hali ya sintofahamu baada ya Kampuni ya uchimbaji madini nchini, Acacia kudai kwamba haina pesa za......
Email this page
Zitto aibua mapya baada ya Acacia kudai haina hela ya kulipa
Zitto aibua mapya baada ya acacia kudai haina hela ya kulipa
ajira 400 zanukia tra
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuajiri wafanyakazi 400 katika kipindi kifupi kijacho ili kukabiliana na upungufu wa watumishi katika......
Email this page
Ajira 400 zanukia TRA
Ajira 400 zanukia tra
maduka ya nakumatt yapigwa kufuli, wafanyakazi wahaha
Maduka ya Nakumatt Tawi la Mlimani City leo yamefungwa huku kukiwa hakuna huduma yoyote inayotolewa. Hatua hiyo inadaiwa kuchukuliwa na......
Email this page
Maduka ya Nakumatt yapigwa kufuli, wafanyakazi wahaha
Maduka ya nakumatt yapigwa kufuli, wafanyakazi wahaha
serikali yajipanga kununua ‘vichwa tata’ vya treni vilivyotelekezwa bandarini
Serikali imesema kuwa ipo katika mchakato wa kuvinunua vichwa 13 vya treni ambavyo vilitelekezwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam......
Email this page
Serikali yajipanga kununua ‘vichwa tata’ vya treni vilivyotelekezwa bandarini
Serikali yajipanga kununua ‘vichwa tata’ vya treni vilivyotelekezwa bandarini
mnada wa tanzanite wapigwa kalenda
Wizara ya Madini imesema kuwa Mnada wa Madini ya Tanzanite uliokuwa ufanyike katika Mji Mdogo wa Mererani, Wilayani Simanjiro, Mkoani......
Email this page
Mnada wa Tanzanite wapigwa kalenda
Mnada wa tanzanite wapigwa kalenda
msemaji serikali: rais magufuli hajakataa ongezeko la mishahara watumishi wa umma
Serikali imesema kuwa hakuna mahali Rais, Dkt. John Pombe Magufuli alipokataa kutekeleza ahadi ya ongezeko la mwaka la mishahara ya......
Email this page
Msemaji Serikali: Rais Magufuli hajakataa ongezeko la mishahara watumishi wa umma
Msemaji serikali: rais magufuli hajakataa ongezeko la mishahara watumishi wa umma
serikali kufanya mnada wa madini ya tanzanite
Serikali kupitia Wizara ya Madini inatarajia kufanya mnada wa madini ya Tanzanite kutoka kampuni nne za uchimbaji na biashara ya......
Email this page
Serikali kufanya mnada wa madini ya Tanzanite
Serikali kufanya mnada wa madini ya tanzanite
wadaiwa sugu bodi ya mikopo wapewa kibano zaidi
Halmashauri 12 ambazo ni wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa zimetakiwa kuwa zimerejesha deni la Shilingi......
Email this page
Wadaiwa sugu Bodi ya Mikopo wapewa kibano zaidi
Wadaiwa sugu bodi ya mikopo wapewa kibano zaidi
zitto adai uchumi wa nchi umedorora, hali mbaya
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amesema uchumi wa nchi unazidi kudidimia na thamani ya shilingi inazidi kushuka......
Email this page
Zitto adai uchumi wa nchi umedorora, hali mbaya
Zitto adai uchumi wa nchi umedorora, hali mbaya
tra yajivunia makusanyo ya trilioni 3.6 robo ya kwanza ya mwaka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kuwa makusanyo ya kodi kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2017/2018......
Email this page
TRA yajivunia makusanyo ya trilioni 3.6 robo ya kwanza ya mwaka
Tra yajivunia makusanyo ya trilioni 3.6 robo ya kwanza ya mwaka
serikali yabadili mfumo wa ulipaji mishahara kwa watumishi kubana matumizi
Serikali imesema kuwa itaanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika kulipa mishahara badala ya matumizi ya karatasi za kutolea nakala za......
Email this page
Serikali yabadili mfumo wa ulipaji mishahara kwa watumishi kubana matumizi
Serikali yabadili mfumo wa ulipaji mishahara kwa watumishi kubana matumizi
wanamichezo wanawezaje kutumia mitandao ya kijamii kutengeneza brand zao?
Maendeleo makubwa katika Sayansi na Teknolojia katika karne ya 21 yanazidi kukua kila uchao, miaka 20 iliyopita ilikuwa vigumu kwa......
Email this page
Wanamichezo wanawezaje kutumia mitandao ya kijamii kutengeneza brand zao?
Wanamichezo wanawezaje kutumia mitandao ya kijamii kutengeneza brand zao?
tra yaja na kanuni kupambana na utakatishaji fedha
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wanaosafirisha fedha taslimu zaidi ya milioni 22.5 (Dola 10,000 za Kimarekani) nje ya nchi......
Email this page
TRA yaja na kanuni kupambana na utakatishaji fedha
Tra yaja na kanuni kupambana na utakatishaji fedha
kcb yajitosa tff mwaka mmoja
Ligi Kuu Tanzania Bara imepigwa tafu na benki ya Kibiashara ya Kenya (KCB) baada ya makubaliano ya kuwa co-sponsor na......
Email this page
KCB yajitosa TFF mwaka mmoja
Kcb yajitosa tff mwaka mmoja
rais magufuli aagiza tanzanite kuuzwa simanjiro pekee
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amedhamiria kupigana vita ya madini ya Tanzanite na kuhakikisha kuwa rasilimali hiyo inawanufaisha......
Email this page
Rais Magufuli aagiza Tanzanite kuuzwa Simanjiro pekee
Rais magufuli aagiza tanzanite kuuzwa simanjiro pekee
mbunge msukuma na madiwani wapelekwa kwa pilato
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma na madiwani waliokuwa wakishikiliwa polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita. Mpendwa msomaji......
Email this page
Mbunge Msukuma na madiwani wapelekwa kwa Pilato
Mbunge msukuma na madiwani wapelekwa kwa pilato
tanzania yasamehewa deni la bilioni 445
Serikali ya Brazil imesamehe Serikali yaTanzania deni la jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 203 ambazo ni sawa na fedha......
Email this page
Tanzania yasamehewa deni la Bilioni 445
Tanzania yasamehewa deni la bilioni 445
pakacha group yaanza kutoa mafunzo ubungo
Mafunzo ya siku tatu kwa wananchi wa Manispaaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam ya kuwaelimisha umuhimu wa kufuatilia fedha......
Email this page
Pakacha Group yaanza kutoa mafunzo Ubungo
Pakacha group yaanza kutoa mafunzo ubungo
update: mabomu ya machozi yatumika kutawanya madiwani, wananchi
Polisi wamedaiwa kulazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya madiwani walioandamana katika mgodi wa Geita Gol Mining (GGM) na kuwashikilia madiwani......
Email this page
UPDATE: Mabomu ya machozi yatumika kutawanya madiwani, wananchi
Update: mabomu ya machozi yatumika kutawanya madiwani, wananchi
madiwani, wananchi wafunga barabara ya kuingia ggm
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Madiwani na Wananchi katika Wilaya ya Geita wamefunga barabara inayoingia mgodi wa Geita Gold......
Email this page
Madiwani, wananchi wafunga barabara ya kuingia GGM
Madiwani, wananchi wafunga barabara ya kuingia ggm
takukuru yamtaja mmiliki wa vichwa vya treni vilivyokutwa bandarini
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imesema kuwa mmiliki wa vichwa vya Treni vilivyoko Bandarini ni Kampuni ya Electro-Motive......
Email this page
TAKUKURU yamtaja mmiliki wa vichwa vya treni vilivyokutwa bandarini
Takukuru yamtaja mmiliki wa vichwa vya treni vilivyokutwa bandarini
singapore grand prix kuanza septemba 15-17
Michuano ya langalanga ya Singapore (Singapore Grand Prix), inatarajiwa kutimua vumbi Septemba 15.16.17 mwaka huu katika viunga vya jiji la......
Email this page
Singapore Grand Prix kuanza Septemba 15-17
Singapore grand prix kuanza septemba 15-17
hekalu moja la lugumi laondoka kwa milioni 700
Ghorofa la Upanga, mali ya Kampuni ya Lugumi Emterprises Limited hapo jana lilinunuliwa kwa Shilingi Milioni 700 na Kampuni ya......
Email this page
Hekalu moja la Lugumi laondoka kwa Milioni 700
Hekalu moja la lugumi laondoka kwa milioni 700
waziri mpango ashtukiza uwanja wa ndege kujionea almasi iliyokamatwa
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa......
Email this page
Waziri Mpango ashtukiza Uwanja wa Ndege kujionea Almasi iliyokamatwa
Waziri mpango ashtukiza uwanja wa ndege kujionea almasi iliyokamatwa
kamati za bunge,tanzanite na almasi zabaini madudu sekta ya madini
Kamati maalum ya kuchunguza biashara ya Tanzanite leo imesema kuwa asilimia 20 pekee ya madini ya Tanzanite ndiyo inaingia katika......
Email this page
Kamati za Bunge,Tanzanite na Almasi zabaini madudu sekta ya Madini
Kamati za bunge,tanzanite na almasi zabaini madudu sekta ya madini
mahakama yamrudisha manji kwa jeshi la polisi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake wahojiwe na Jeshi la Polisi ili kukamilisha upelelezi wa......
Email this page
Mahakama yamrudisha Manji kwa Jeshi la Polisi
Mahakama yamrudisha manji kwa jeshi la polisi
acacia kupunguza operesheni mgodi wa bulyanhulu
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia leo imetangaza kupunguza oparesheni katika Mgodi wa Bulyanhulu baada ya gharama za uendeshaji kuongezeka......
Email this page
Acacia kupunguza operesheni Mgodi wa Bulyanhulu
Acacia kupunguza operesheni mgodi wa bulyanhulu
ewura yainyima leseni iptl
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imekataa maombi ya kuiongezea muda wa leseni kwa Kampuni ya......
Email this page
EWURA yainyima leseni IPTL
Ewura yainyima leseni iptl
waziri mwijage aitaka tra isimfitinishe kwa jpm
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutomfukuzisha kazi kwa uzembe wao uliopelekea......