Sheria na Mahakama

Update: Lulu atupwa gerezani miaka miwili kwa mauaji ya Kanumba

Tarehe November 13, 2017

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imemhukumu Muigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.

Lulu alikuwa akikabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya aliyekuwa Muigizaji nguli wa filamu nchini, Steven Kanumba.

Lulu anadaiwa kutenda kosa hilo Aprili 7, 2010 nyumbani kwa marehemu eneo la Sinza Vatican, Jijini Dar es Salaam.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni