Sheria na Mahakama

Rufaa ya Lema yaota mbawa

Tarehe December 28, 2016

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameendelea kusota rumande baada ya hii leo usikilizwaji wa rufaa yake ya kupinga kunyimwa dhamana ikikwama kusikilizwa.

Hali hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga mbunge huyo kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya rufaa.

Lema alikamatwa Novemba 2, mwaka huu akiwa Mjini Dodoma na tangu wakati huo anashikiliwa kwenye gereza la Kisongo Jijini Arusha.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni