Sheria na Mahakama

Pedeshee Ndama apigwa mvua ya miaka mitano jela

Tarehe June 9, 2017

19105790_1507736915956964_6008270857038316749_n

Mfanyabiashara ‘Pedeshee Ndama’ leo amehukumiwa miaka 5 jela au faini ya Shilingi Milioni 200 baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kutakatisha f. Alikuwa akikabiliwa na kesi ya kutakatisha fedha.

Hukumu hiyo imekuja baada ya mfanyabiashara huyo kukiri kosa la kutakatisha kiasi cha dola za Marekani 540,000.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni