Sheria na Mahakama

Mbaroni kwa kubaka binti zake wawili

Tarehe June 12, 2017

 

pingu

Pamoja na kukemewa vikali vitendo vya ubakaji hapa nchini mkazi wa daraja mbili Japhet Lendiman(38)fundi mbao, anashikiliwa na jeshi la polisi  baaada ya kubaka watoto wake wawili wa kike wa darasa la sita na kidato cha kwanza.

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoani arusha Charles mkumbo alisema kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi  ili kubaini kiini cha tatizo hilo,na kufuatiwa na hatua ya kufikishwa mahakamani.

Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na Jeshi la polisi tangu juni 6 mwaka huu,na upelelezi unaendelea ili kubaini undani wa tukio hilo.

Akizungumzia  tukio hilo  Mmoja wa majirani wa eneo hilo alidai kuwa mzazi huyo amezoeleka kwa tabia hiyo mbaya mtaani kwao.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni