Mitindo

Nogesha mwaka mpya kwa mapambo haya

Tarehe December 27, 2016

images-4

Yapo mapambo mengi sana ambayo yanatumika kupamba nyumba zetu katika msimu huu wa mwaka mpya, tunaona kuna baadhi ya mapambo yamepanda bei na kufanya wanunuzi  washindwe kununua.

Mapambo ambayo hupendelewa  zaidi   ni pamoja taa za rangi zinazo wakawaka wakati wa usiku, unakuta nyumba nyingi wanatumia aina ya urembo huu kuweza kupamba nyumba zao.

Baadi ya mapambo yanayotumika msimu huu wa sikukuu ya mwaka huu ni pamoja na;

images-3

chrstmas-in-paris_2427676k

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni