Mitindo

Staili mpya ya kaptula za kike 2017

Tarehe August 17, 2017

IMG-20170817-WA0054

Shahista kuyela, mbunifu wa mavazi na viatu ndani na nje ya nchi.

IMG-20170817-WA0055

Katika Ubora wake

IMG-20170817-WA0060

IMG-20170817-WA0057

IMG-20170817-WA0059

IMG-20170817-WA0060

katika ubora wake

IMG-20170817-WA0056

Mwanamitindo maarufu  jijini hapa Shahista kuyela ameonesha staili mpya ya nguo aina ya kaptura zinaweza kuvaliwa na wanawake.

Akizungumza na Mtandao huu Kuyela  amesema kwamba kaptula ni vazi zuri  na la kipee linalomfanya mvaaji kuwa huru na kujisikia na amani wakati wote.

Ameongeza kuwa   kaptula ni vazi linalopendeza zaidi katika maeneo ya starehe pamoja na ufukweni.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni