Mitindo

Muonekano mpya wa Dr. Shika wa Lugumi

Tarehe November 25, 2017

Muonekano wa awali wa Dr.Shika.

Baada ya kujipatia umaarufu mkubwa kwa muda mfupi katika sakata la uuzwaji nyumba za Lugumi,Dr.Shika sasa amekuja na muonekano mpya.

Dr.Shika alijizolea umaarufu baada ya kuibuka kwenye mnada huo na kutaja viwango vya juu vya fedha kuwapiku watu wengine waliojaribu kununua nyumba hizo kumbe hana uwezo wa kununua nyumba hizo.

Muonekano wa sasa wa Dr.Shika.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni