Mitindo

Glady John anyakua Taji la miss Ardhi 2017

Tarehe May 27, 2017

Miss Ardhi, Glady John (katikati) akiwa katika ubora wake.

Miss Ardhi, Glady John (katikati) akiwa katika ubora wake.

Glady John mwenye urefu wa sentimita 7, na uzuri wa kipekee   amejinyakulia taji la  miss Ardhi katika ukumbi wa kisenga international LAPF tower  Dar es salam.

Kwa matukio zaidi katika picha tazama hapa….

Baadhi ya Warembo wakiwa katika ishara ya kuonyesha shoo wakiwa wameshika kishumaa

Baadhi ya Warembo wakiwa katika ishara ya kuonyesha shoo wakiwa wameshika kishumaa

IMG-20170527-WA0018[1]

IMG-20170527-WA0030[1]

Nandy, akitumbuza ndani ya msako wakumsaka malikia wa chuo cha Ardhi 2017 jijini Dar es salaam

Nandy

Nandy

Mwanamitindo maarufu kwa jina la Martin Kadinda, akimtangaza kinara wa chuo cha Ardhi jijini da es salaam

Mwanamitindo maarufu kwa jina la Martin Kadinda, akimtangaza kinara wa chuo cha Ardhi jijini Da es salaam

IMG-20170527-WA0026[1]

Glady John, Ambaye ni Miss Ardhi 2017 akiwa katika furaha yakipee.

Glady John, Ambaye ni Miss Ardhi 2017 akiwa katika furaha yakipee.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni