Michezo/Sports

Unaikumbuka hii?

Tarehe November 15, 2017

10,000- Idadi ya mabango yaliyochapishwa kwa ajili ya Mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika jijini Amsterdam, Uholanzi mwaka 1928.

Yanakumbukwa kutokana na kukosewa sana ikiwamo picha ya mwanariadha ambayo ilionyesha mguu wake wa kushoto  na mkono wa kushoto vikienda kwa pamoja, kitu ambacho kisayansi hakiwezekani.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni