Michezo/Sports

TP Mazembe wajipanga kumnasa Kichuya

Tarehe March 30, 2018

Klabu ya TP imetajwa kuanza mchakato wa kumuwinda mchezaji wa ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars0 Shiza Ramadhani Kichuya.

Umuzi huo unafuatia Kichuya kuonesha uwezo mkubwa katika mchezo wa kirafiki  dhidi ya DR Congo.

Kwa mujibu mmoja wa wadau wa kutoka TP Mazembe amesema  mabosi wa klabu ya TP Mazembe ya Congo wanajipanga kutua nchini kufanya mazungumzo na vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC kwaajili ya kumnasa Kichuya.

Katika mechi dhidi  ya Taifa Stars na  Congo DRC Shiza Kichuya  alipachika bao la pili baada ya Samatta kufunga la kwanza.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni