Michezo/Sports

Thomas Ulimwengu aanza mazoezi

Tarehe October 25, 2017

Thomas Ulimwengu

Nyota wa zamani wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania Thomas Ulimwengu ameanza mazoezi mepesi kwa ajili ya kurejea dimbani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na majeruhi.

Picha ya mtandao inaonyesha akiwa gym akifanya mazoezi ya kujenga misuli hususani ya tumbo.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni