Michezo/Sports

Tazama viwanja vitakavyotumika Russia 2018

Tarehe December 2, 2017

Viwanja vya Kombe la Dunia 2018 nchini Russia.

Makundi ya Kombe la Dunia Russia 2018 yameshapangwa nchi zinazotoka bara la Afrika nazo zimepangwa katika makundi hayo. Misri ipo kundi A, Morocco ipo kundi B, Nigeria ikiangukia kundi D, Tunisia kundi G na Senegal ikifunga kundi H la michuano hiyo. Miongoni mwa viwanja ni kile cha Luzhinki ambao utachezewa fainali Juali 15, 2018

MOSCOW – Luzhniki Stadium

Capacity: 81,000 Opened: 2017 (rebuilt original stadium, open 1955-2013) Team: Russia national team

Group A, 14 June; Group F, 17 June; Group B, 20 June; Group C, 26 June; Round of 16, 1 July; Semi-final, 11 July; Final, 15 July. 

Uwanja wa Luzhinki jijini Moscow, Russia.

Miji yenye viwanja hivyo ni Kaliningrad, Kazan, Krasnodar, Moscow, Nizhny Novgorod, Rostov-on-Don, Saint Petersburg, Samara, Saransk, Sochi, Volgograd, Yaroslavl, and Yekaterinburg.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni