Michezo/Sports

Simba yazama mafichoni Zanzibar, Young Africans Moro

Tarehe October 25, 2017

Wachezaji wa Young Africans katika warm up.

Wakati Simba ikitangaza kuweka kambi visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Oktoba 28 mwaka huu utakaochezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, mahasimu wao Young Africans wameweka kambi yao mjini Morogoro tangu jana saa 12:00 jioni.

Young Africans imefanya mazoezi yake asubuhi  baada ya kuwasili jana ikitokea Shinyanga ilikocheza dhidi ya Stand United.

Simba SC imeweka siri ilipoweka kambi huko Zanzibar.

Wachezaji wa Simba katika mazoezi.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni