Michezo/Sports

Simba Queens yathibitishwa kucheza Ligi ya Wanawake 2017/18

Tarehe October 12, 2017

Kikosi cha Wachezaji wa Simba Queens kilichocheza Ligi Ndogo ya Wanawake mwaka 2017.

Simba Queens imepanda daraja baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzanite ya Arusha.

FT: SIMBA QUENS 2-0 TANZANITE ARUSHA

Kwa mataokeo hayo Simba Quens itacheza Ligi ya Wanawake msimu wa 2017/18. Fursa ya kucheza ligi ya wanawake msimu huu imewaendea Alliance ya Mwanza ambao nao wamepanda daraja baada ya matokeo mazuri kwenye ligi ndogo ya wanawake.

Wachezaji wa Simba Queens wakimsikiliza kocha wao wakati wa Ligi Ndogo ya Wanawake jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni