Michezo/Sports

Ronaldo ashinda Ballon d’Or ya tano

Tarehe December 7, 2017

Nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo na Mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid amejishindia tuzo ya Mchezaji Bora wa Bara la Ulaya (Ballon d’Or) usiku huu ikiwa ni mara ya Tano kupata tuzo hiyo.

Ronaldo amewapiku Messi wa Barcelona na Neymar wa PSG na kushinda tuzo hiyo kwa mara ya tano sasa ambapo alishinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kisha kushinda miaka ya 2013, 2014 & 2016

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni