Michezo/Sports

Mwakyembe ateua Mwenyekiti wa Bodi,wajumbe wapya nane

Tarehe April 13, 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya na wajumbe wapya nane.

Kwa habari zaidi soma hapa….

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni