Michezo/Sports

Mwakyembe ampa cheo Leodger Tenga

Tarehe February 9, 2018

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini TFF Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT).

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni