Michezo/Sports

Mtihani wa kwanza wa Nsanzurwimo Mbeya City leo

Tarehe October 13, 2017

INFOGRAPHIC: MATCH FACTS: Mbao FC vs Mbeya City FC Oktoba 13, 2017.

MATCH FACTS: Mbao FC vs Mbeya City FC

Leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kutashuhudiwa mchezo baina ya Mbao FC na Mbeya City FC. Mbao FC ambao ni wenyeji wapo mikononi mwa Kocha Etienne Ndayiragije huku Mbeya City wakiwa na kocha mpya Ramadhani Nsanzurwimo aliyerithi mikoba ya raia wa Malawi Kinnah Phiri. Wanaozinoa klabu zinazokutana leo Oktoba 13, 2017 ni raia wa Burundi. Mtihani wa kwanza kwa kocha Nsanzurwimo baada ya kuichukua mikoba ya Phiri. Je, nani ataibuka na ushindi katika mchezo huo?

Mechi 3 Zilizopita

MBAO FC

H-H-A PTS 2

GF: 4, GA: 5, GD: -1

Nafasi ya sasa VPL: 9, PTS: 5

Sept. 30, 2017

D Mbao FC 1-1 TZ Prisons

Sept. 21, 2017

D Mbao FC 2-2 Simba SC

Sept. 16, 2017

L Mtibwa 2-1 Mbao FC

 

MBEYA CITY FC

A-A-H PTS 4

GF: 4, GA: 4, GD: 0

Nafasi ya sasa VPL: 7, PTS: 7

Sept. 30, 2017

D Mwadui FC 2-2 Mbeya City

Sept. 24, 2017

L Stand United 2-1 Mbeya City

Sept. 17, 2017

W Mbeya City 1-0 Njombe Mji

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni