Michezo/Sports

Moro Sisters yaitandika Kisarawe Queens 12-0

Tarehe October 12, 2017

Wachezaji wa Moro Sisters katika Ligi Ndogo ya Wanawake mwaka 2017

Ligi Ndogo ya Wanawake imeendelea asubuhi ya leo kwa Moro Sisters kuigagadua Kisarawe Queens kwa mabao 12-0.

Ikumbukwe Moro Sisters Oktoba 10 mwaka huu walizabuliwa kwa mabao 5-3 na Simba Queens.

Kocha Charles John Sendwa anasema amefurahishwa na ushindi huo licha ya kuwa kuna mambo ambayo ataendelea kuyarekebisha kwa kikosi chake ili kiweze kuwa na msingi mzuri wa soka.

Kocha Charles John Sendwa anayeinoa Moro Sisters.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni