Michezo/Sports

Mashabiki wa Al Ahly wafurika uwanjani, wavuruga mazoezi

Tarehe November 1, 2017

Unaweza kushindwa kuamini kama kamera za juu zisingweza kuchukua picha zinazoonyesha hadhira ya mashabiki wa klabu ya Al Ahly waliofurika uwanjani kushuhudia mazoezi ya timu yao kuelekea mchezo wa pili wa fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika inayotarajiwa kuchezwa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco siku ya Jumamosi.

 

Al Ahly inaweza kupeleka taji hilo kwa mara ya tisa katika ardhi ya Misri. Al Ahly ndiyo klabu inayoongoza barani Afrika kwa kuwa na mashabiki wengi kuliko klabu yoyote.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni