Michezo/Sports

Makundi Kombe la Dunia 2018, Nigeria kuvaana na Messi

Tarehe December 1, 2017

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) leo limechezesha droo ya makundi ya timu zitakazomenyana katika kinyang’anyiro cha fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kupigwa nchini Urusi, mwaka 2018.

Katika michuano hiyo, timu 32 zitashiriki kutoka mabara tofauti, huku Africa ikiwakilishwa na nchi tano ambazo ni; Misri, Morocco, Nigeria, Senegal na Tunisia.

Bara la Asia linawakilishwa na nchi za Austraria, Iran, Japan, Korea Republic na Saudi Arabia

Nchi washiriki kutoka Bara la Ulaya ni pamoja na Belgium, Croatia, Denmark, England, France, Germany, Iceland, Poland, Portugal, Russia, Serbia, Spain, Sweden, Switzerland

Kutoka Bara la America Kaskazini, Kati na Carribean ni Costa Rica, Mexico na Panama

Kutoka Bara la America Kusini washiriki wa michuano hiyo ni  Argentina, Brazil, Colombia, Peru na Uruguay huku mechi kati ya Urusi v Saudi Arabia ndio itakuwa ya kwanza ya Kombe la Dunia 2018.

Makundi hayo ni kama yalivyo hapa chini;

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni