Michezo/Sports

Azam FC yaweka Historia kombe la Mapinduzi

Tarehe January 14, 2018

Klabu ya Azam yenye makazi yake Chamazi jijini Dar es salaam FC Usiku wa January 13 2017 imefanikiwa kutetea taji lao la Mapinduzi Cup katika mchezo uliochezwa dhidi ya URA ya Uganda.

Licha ya kuwa mchezo kuwa mgumu  na dakika 90 kumalizika kwa sare lakini Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam walifanikiwa kutwaa taji hilo.

Katika mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi 2018 baada ya dakika 120 kumalizika ndio mikwaju ya penati ikaipa Azam FC ushindi kwa penati 4-3.

Mwaka 2017 pia Azam FC ilifanikiwa kutwa taji hilo baada ya kuifunga  simba kwa goli 1.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni