Michezo/Sports

Ally Mayay Tembere ajitosa kuwania Urais TFF

Tarehe June 19, 2017

jengo-la-TFF1

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Mayay Tembele amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika uchaguzi ujao.

Ally Mayay anafanya idadi ya wanaogombea nafasi ya urais kufikia wagombea watano huku wengine wakiwa ni pamoja na, Jamal Malinzi (Anayetetea Kiti), Imani Madega, Wallace Karia na Fredrick Masolwa.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni