Maisha

KKKT Kawe yabuni miradi ili kuondokana na utegemezi

Tarehe September 13, 2017

Mchungaji Amani Limo, Akizindua Rasmi mradi wa gesi aina ya Mihan katika kanisa la kkkt sharika wa kawe jijini dar es salaam

Mchungaji Amani Limo, Akiombea Rasmi mradi wa gesi aina ya Mihan katika kanisa la KKKT usharika wa kawe jijini Dar es salaam.

Kanisa la Kilutheli Tanzania dayosisi ya mashariki na pwani, usharika wa KKKT Kawe jijini Dar  es salaam limezindua rasmi miradi mbalimbali  ya kuliongezea kanisa kipato.

Miradi hiyo ni pamoja na duka la vinywaji baridi, Shule ya watoto inayotoa elimu, mradi wa kuku pamoja na mradi wa kutunza magali (parking).

Miradi hiyo ambayo itakua endelevu itasaidia usharika huo kuongeza Mapato  na kuondokana na utegemezi wa ufadhili na michango pamoja na sadaka.

IMG_1848

Mchungaji Amani Limo (kushoto) kulia kwake ni mchungaji Tusimsahau Manoza, wakiwa katika kunadi moja ya mtungi wa geni wa aina ya Mihan katika usharika wa kawe jijini dar es salaam

Mchungaji Amani Limo (kushoto), katikati ni mchungaji Tusimsahau Manoza, mwishoni ni mwinjilisti Elizabeth Urassa, wakiwa katika kunadi moja ya mtungi wa geni wa aina ya Mihan katika usharika wa kawe jijini dar es salaam.

Mchungaji Tusimsahau Manoza(mwazoni), mchingaji Amani Limo katikati na ,winjilisti Elizabeth Urassa (mwishoni) wakitoa neno la mungu katika miradi hiyo iliyofunguliwa katika usharika wa kawe jijini dar es salaam

Mchungaji Tusimsahau Manoza(wa Kwanza Kushoto), mchingaji Amani Limo katikati na ,Mwinjilisti Elizabeth Urassa (mwishoni) wakitoa neno la mungu katika miradi hiyo iliyofunguliwa katika usharika wa kawe jijini dar es salaam.IMG_1836

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni